Mafunzo Ya Darasa La Utumishi
Katika nyakati hizi za mwisho, ambapo ulimwengu unakabiliwa na changamoto nyingi, huduma za kinabii zinachukua nafasi muhimu katika kuongoza na kuelimisha jamii.
Maono ya Kufikia wanafunzi Billion Moja
Operesheni Unyakuo inalenga kusajili wanafunzi BILIONI 1 Ifikapo 2030 kwa mtindo wa kuanzisha mfumo wa mtandao wa vikundi vipya.
Uzinduzi Operesheni Unyakuo
“Operesheni Unyakuo,”ambayo imeanzishwa na waasisi wawili wenye maono makubwa: Askofu Mkuu Prof. Sylvester Gamanywa, Mhadhiri na Mwandishi wa Nabii za Nyakati za Mwisho (Eschatology), pamoja na Askofu Aurelian Ngonyani, Mhadhiri wa Historia ya Kanisa na Biblia, na Mafunzo ya Nyakati za Mwisho (Eschatology)..
Maono ya Kufikia wanafunzi Billion Moja
Operesheni Unyakuo inalenga kusajili wanafunzi BILIONI 1 Ifikapo 2030 kwa mtindo wa kuanzisha mfumo wa mtandao wa vikundi vipya.
MATUKIO YA UZINDUZI OPERESHENI UNYAKUO
Israel Katika Unabii - Wapo TV Online
Kipindi cha Nyakati za Mwisho
2024 - Nyakati za Mwisho
Kipindi hiki kimeanzishwa kwa ajiri ya kueleza nyakati za mwisho na matukio yake kama ilivyo tabiriwa katika Biblia. Na kipindi hiki kina kina rushwa live na Wapo Radio fm pamoja na Wapo TV Online kila siku ya Jumatano kuanzia saa mbili na nusu usiku hadi saa tatu na nusu usiku.
Nyakati Za Mwisho
Matukio Ya Operesheni Unyakuo